Matokeo Misri (Egypt) vs Uruguay 15 June 2018

Matokeo Misri (Egypt) vs Uruguay 15 June 2018

0

Matokeo Misri (Egypt) vs Uruguay 15 June 2018

Licha ya Wawakilishi wa Bara la Afrika Misri kujitahidi kupata Ushindi au hata sare ambayo ingewapa alama moja wameshindwa kupata alama yoyote nara baada ya Kupoteza pambano.

Misri wamepoteza kwa bao 1 kwa 0 bado likifungwa dakika ya 89 na Jose Gimenes kwa Kichwa akipaa juu na Kuwaacha wachezaji wa Misri na Kisha Kutandika Kichwa mpira Ukizama Nyavuni.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY