Matokeo Morocco vs Iran 15 June 2018

Matokeo Morocco vs Iran 15 June 2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Matokeo Morocco vs Iran 15 June 2018

Wawakilishi wengine wa Bara la Afrika  Morocco wakicheza na Iran wamejikuta wakiangukia Pua leo mara baada ya Kufungwa katika Mechi yao ya Kwanza hatua ya Makundi.

Morocco ambao walijitahidi kucheza Wamejikuta wakijimaliza wenyewe kwa Goli la Kujifunga dakika ya 90 baada ya Aziz Bouhaddouz Kujifunga wakati akijitahidi kutoa Mpira kwa Kichwa

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY