Matokeo Nigeria vs Argentina 26 June 2018

Matokeo Nigeria vs Argentina 26 June 2018

0

Matokeo Nigeria vs Argentina 26 June 2018

Matokeo kati ya Nigeria vs Argentina kombe la Dunia leo 26 June 2018, moja kwa moja kutoa uwanja wa St. Petersburg nchini Urusi.

Dakika ya 5

Nigeria 0 – 0 Argentina

Dakika ya 10

Nigeria 0 – 0 Argentina

Goaaaaaaaaaaaaal Dakika ya 14 Lionel Messi anaipatia Argentina bao la Kuongoza akitumia vizuri mpira mrefu uliopigwa toka katikati ya uwanja na kumkuta akiwa na beki mmoja

Dakika ya 15

Nigeria 0 – 1 Argentina

Dakika 20 zimekatika matokeo yakiwa bado ni 0 kwa Nigeria na 1 kwa Argentina bao la Lionel Messi

Dakika 25

Nigeria 0 – 1 Argentina

Dakika ya 33 Free Kick ya Lionel Messi inagonga Mwamba wa pembeni na Kurudi uwanjani

HALF TIME

Nigeria 0 – 1 Argentina (14′ Lionel Messi)

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 48 Nigeria WANAPATA penati

Goaaaaaaaaaaaaaaaaaal Dakika ya 50 Victor Moses anaipatia Nigeria Bao

Nigeria 1 – 1 Argentina

Dakika ya 60

Nigeria 1 – 1 Argentina

Dakika ya 80

Nigeria 1 – 1 Argentina

Matokeo Croatia vs Iceland

Dakika ya 86 Marcus Rojo anaipatia Argentina bao la Pili

Nigeria 1 – 2 Argentina

FULL TIME

Nigeria 1 – 2 Argentina (Messi, Marcus Rojo, Victor Moses)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY