Matokeo Nigeria vs Iceland leo 22 June 2018

Matokeo Nigeria vs Iceland leo 22 June 2018

0

Matokeo Nigeria vs Iceland leo 22 June 2018

Kombe la Dunia limeendelea leo kwa Mechi mbili kuchezwa wakati kuna Mechi ya tatu baadaye Mechi ya kwanza Brazil imepata Ushindi dhidi ya Costa Rica mabao ya Jioni ya Philippe Coutinho na Neymar Dos Santos.

Katika Mchezo wa Pili Nigeria wakicheza kwa kujituma na Kutambua kuwa wao ni wawakilishi wa bara la Afrika baada ya Kufungwa mchezo wa awali leo wamewaduwaza Iceland.

Nigeria imefanikiwa kupata Ushindi wa Bao 2 kwa 0 magoli ya Nigeria Super Eagle yakiwekwa kimyani na Ahmed Mussa katika dakika za 49 na Dakika ya 75.

Iceland walijpata penati dakika ya 83 lakini penati hiyo  ikapaa angani na kufanya matokeo kuwa 2 kwa 0 mpaka Mwisho.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY