Matokeo Nusu Fainali Uhai Cup 19 June 2018

Matokeo Nusu Fainali Uhai Cup 19 June 2018

0

Matokeo Nusu Fainali Uhai Cup 19 June 2018

Nusu Fainali ya kwanza ya Mchezo kati ya Stand United na Azam Fc imemalizika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha UDOM kwa Stand United Kufuzu kucheza Fainali.

Stand United wamefanikiwa kupata ushindi wa bao 1 kwa 0 dhidi ya wanafainali wa mwaka jana Azam Fc, Bao hilo pekee la Stand United limefungwa na Morice Mahela dakika ya 32.

Stand United itacheza fainali na Mshindi kati ya Simba au Mtibwa Sugar ambao wanacheza nusu fainali ya Pili baadaye.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY