Matokeo Nusu Fainali Uhai Cup Simba vs Mtibwa

Matokeo Nusu Fainali Uhai Cup Simba vs Mtibwa

0

Matokeo Nusu Fainali Uhai Cup Simba vs Mtibwa

KIPINDI CHA KWANZA

Kipindi cha Kwanza timu zimetoka zikiwa sare ya bila Kufungana huku timu zote zikishambuliana na Kutengeneza mashambulizi kadhaa.

HALF TIME

Simba 0 – 0 Mtibwa Sugar

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 73 Mtibwa Sugar Wamepata Penati baada ya kipa wa Simba Ally Salim kumchezea rafu mchezaji wa Mtibwa katikaharakati za kuokoa Mpira langoni Mwake.

Dakika ya 74 Mtibwa Sugar wanakosa Penati baada ya Kipa wa Simba Under 20 Ally Salim  Kuipangua na Kuitoa kuwa Kona.

DAKIKA YA 75

Simba 0 – 0 Mtibwa Sugar

Dakika ya 85

Simba 0 – 0 Mtibwa Sugar

FULL TIME

Simba 0 – 0 Mtibwa Sugar

MUDA WA NYONGEZA UNAFUATA

Dakika ya 95

Bado milango ni Migumu na Hakuna Goli mpaka sasa

DAKIKA 15 ZA MUDA WA NYONGEZA ZIMEISHA

Simba 0 – 0 Mtibwa Sugar

Goaaaaaaal dakika ya 110 Mtibwa Sugar wanapata bao kupitia kwa Abdul Yohanna

Simba 0 – 1 Mtibwa Sugar

MPIRA UMEKWISHA

Simba 0 – 1 Mtibwa Sugar

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY