Matokeo Serbia vs Switzerland 22 June 2018 na Msimamo

Matokeo Serbia vs Switzerland 22 June 2018 na Msimamo

0

Matokeo Serbia vs Switzerland 22 June 2018 na Msimamo

Licha ya Serbia Kutangulia kupata goli katika dakika ya 5 ya Mchezo wamejikuta wakichezea Kichapo mbele ya Switzerland.

Serbia wakiuanza mchezo vizuri walifanikiwa kupata bao dakika ya 5 kupitia kwa Aleksandar Mitrovic Kabla ya Granit Xhaka KUSAWAZISHA bao hilo katika dakika ya 52.

Wengi wakiamini kuwa labda mechi ingeisha kwa Sare Switzerland wakaongeza bao la 2 dakika za Mwisho na Kufanya matokeo kuwa 2 kwa 1 bao likifungwa na  Xherdan Shaqiri

Madrid wakamilisha Usajili mwingine leo

MSIMAMO WA KUNDI E
Kwa Matokeo hayo Brazil anaongoza akiwa na Points 4 akifuatiwa na Switzerland nao wakiwa na Points 4 sawa na Brazil utofauti ukiwa ni mabao ya Kufunga na Kufungwa, Nafasi ya 3 Serbia mwenye points 3 huku anayevuruta Mkia wa Kundi ni Costa Rica ambaye hana alama.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY