Matokeo Simba vs Dakadaha 30 June 2018 Kagame Cup

Matokeo Simba vs Dakadaha 30 June 2018 Kagame Cup

0

Matokeo Simba vs Dakadaha 30 June 2018 Kagame Cup

Matokeo ya Mchezo kati ya Simba dhidi ya Dakadaha ya Somalia leo 30 June 2018 katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar Es Salaam.

Dakika ya 10

Simba 0 – 0 Dakadaha

Dakika ya 15 Simba wanapata Penati baada ya Nahodha wa Dakadaha ya Somalia kuunawa Mpira katika eneo la hatari.

Dakika ya 16 Marcel Bonaventure Kaheza anaipatia Simba bao la Kwanza.

Simba 1 – 0 Dakadaha

Goaaaaaaaal Dakika ya 22 Adam Salamba anaipatia Simba bao la Pili.

Simba 2 – 0 Dakadaha

Dakika ya 25

Simba 2 – 0 Dakadaha ( Marcel Kaheza, Adam Salamba)

Dakika 30 zimeshakatika Simba wakimiliki zaidi Mpira Kuliko Dakadaha matokeo yakiwa bado 2 kwa 0

Dakika ya 36 Dakadaha wanafanya shambulizi zuri langoni mwa Simba lakini mpigaji wa Mwisho shuti lake linashindwa kulenga lango

Dakika ya 43 Adam Salamba karibia afunge bao la Tatu kwa Simba lakini mpira wake unaokolewa na Beki na Kuwa Kona.

Simba 2 – 0 Dakadaha (Kaheza, Salamba)

Dakika moja inaonyeshwa na mwamuzi wa akiba ili kukamilisha dakika za Kipindi cha Kwanza mchezo kati ya Simba sc na Dakadaha ya Somalia

Goaaaaaaaal Rashid Juma anaipatia Simba bao la Tatu.

Simba 3 – 0 Dakadaha

HALF TIME

Simba 3 – 0 Dakadaha (Kaheza, Adam Salamba, Rashid Juma)

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 48

Simba 3 – 0 Dakadaha

Dakika ya 55, bado 3 – 0

Dakika ya 65

Simba 3 – 0 Dakadaha

Dakika ya 70 anatoka Rashid Juma anaingia Abdul Hamis

Dakika ya 75 Kwa Kutumia Mguu wa Kushoto anaipatia Simba bao la nne.

Simba 4 – 0 Dakadaha

Dakika ya 79 Marcel Bonaventure anatoka anaingia Said Hamis Ndemla

Moses Kitandu anashindwa kuendelea na Mchezo na nafasi yake anaichukua Mohammed Rashid

Dakika ya 85

Simba 4 – 0 Dakadaha (Kaheza, Salamba 2, Rashid Juma)

FULL TIME

Simba 4 – 0 Dakadaha (Kaheza, Salamba 2, Rashid Juma)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY