Matokeo Singida United vs Mtibwa Azam Sports 6 May 2018

Matokeo Singida United vs Mtibwa Azam Sports 6 May 2018

0

Matokeo Singida United vs Mtibwa Azam Sports 6 May 2018

Timu ya Mtibwa Sugar imefanikiwa kupata Ushindi wa bao 3 kwa 2 ikicheza leo dhidi ya Singida United katika Fainali ya Azam Sports Federation Cup mchezo uliochezwa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume.

Magoli ya Singida United yaliwekwa Kambani na Salum Chuku na Tafadzwa Kutinyu huku Magoli ya Mabingwa wapya Mtibwa Sugar yakifungwa na Salum Kihimbwa, Issa Rashid “Baba Ubaya” na Ismail Mheja ambaye ndiye aliyefunga bao la 3 matokeo yakiwa 2 kwa 2 kabla na kufanya Mtibwa kuwa Mabingwa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY