Matokeo Ureno vs Hispania 15 June 2018

Matokeo Ureno vs Hispania 15 June 2018

0

Matokeo Ureno vs Hispania 15 June 2018

Mechi Imeanza kati ya Ureno na Hispania

Dakika ya Pili Cristiano Ronaldo anaangushwa Chini kwenye eneo la Penati, Refa anafunika kuwa Ni Tuta.

Goaaaaaaaaal Dakika ya 4 Ronaldo anafunga Penati

Dakika ya 8

Ureno 1 – 0 Hispania

Dakika ya 15

Bado Ureno wanaongoza kwa Bao moja kwa Sifuri bao likipatikana kwa Njia ya Penati kupitia kwa Cristiano Ronaldo baada ya Kuguswa eneo la Penati

Goaaaaaal Dakika ya 24 Diego Costa anasawazishia Hispania Bao

Ureno 1 – 1 Hispania

Dakika ya 30 Bado matokeo ni 1 kwa 1 Magoli yakifungwa Na Cristiano Ronaldo dakika ya 4, na Diego Costa wa Hispania Kusawazisha dakika ya 24

Dakika ya 40

Ureno 1 – 1 Hispania (4′ Ronaldo, 24′ Diego Costa)

Goaaaaaaal dakika ya 44 Cristiano Ronaldo anawatanguliza tena Ureno

HALF TIME 

Ureno 2 – 1 Hispania (4′ , 44′ Ronaldo, 24′ Diego Costa

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 47 Bado 2 kwa Ureno na 1 kwa Hispania

Dakika ya 50

Ureno 2 – 1 Hispania

Goaaaal Diego Costa dakika ya 55 anaipatia Bao la Pili Hispania

Ronaldo 2 – 2 Diego Costa

Goaaaaal Nacho Fernandez anaipatia Hispania Goli la 3 katika dakika ya 58

Ureno 2 – 3 Hispania

Dakika ya 70

Ureno 2 – 3 Hispania

Dakika ya 80

Ureno 2 – 3 Hispania

Dakika ya 88 Cristiano Ronaldo Anafunga Bao la 3 kwa Ureno kwa Mpira wa Adhabu, Ronaldo anafunga Hat Trick

Ureno 3 – 3 Hispania

FULL TIME

Ureno 3 – 3 Hispania (Ronaldo kafunga bao 3, Diego Costa 2, Nacho 1)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY