Matokeo yanga vs Homeboys 3 June 2018 Sportpesa

Matokeo yanga vs Homeboys 3 June 2018 Sportpesa

0

Matokeo yanga vs Homeboys 3 June 2018 Sportpesa

Matokeo kati ya Yanga dhidi ya Homeboys ya Kenya Michuano ya Sportpesa leo 3 June 2018 katika uwanja wa Afraha huko nchini Kenya.

Kuanzia SAA 7 kamili Kwataunit.com Tutakupa Matokeo Ya Moja kwa Moja kutoka Nchini Kenya uwanja wa Afraha

Timu zimekaguliwa na Rais wa Chama cha soka cha Kenya Nick Mwendwa

Mechi imeanza tayari

Kakamega HOMEBOYS 0 – 0 Yanga

Dakika ya 3 Kakamega wameanza kwa kutafuta nafasi za Mapema lakini bado wanaonekana kutotulia

Dakika ya 5

Homebys 0 – 0 Yanga

Dakika ya 7 Anaondoka vizuri Baruan Akilimali lakini anakutana na Msitu wa Mabeki na Kipa anawekwa Chini, Refa anapeta

Dakika 10

Homeboys 0 – 0 Yanga

Dakika ya 15 Allan Wanga anapambana na Shaibu Abdallah Ninja na Ninja anafanikiwa Kuutoa Mpira Nje, Bado 0 kwa 0

Dakika ya 20

Homeboys 0 – 0 Yanga

Dakika ya 22 Yanga wanapata Kona, Inapigwa LAKINI wanashindwa kuitumia Vizuri

Dakika ya 25 Allan Wanaga anaipatia Homeboys bao la Kwanza

Homeboys 1 – 0 Yanga

Dakika ya 28 Matheo Anthony anajaribu shuti linakwenda Nje ya Lango

Dakika ya 29 Kakamega Homeboys wanapata Penati, Goaaaaaaal Allan Kwanga anafunga bao la Pili

Homeboys 2 – 0 Yanga

Dakika ya 38 Matheo Anthony anaopatia Yanga bao kwa Mpira wa adhabu

Homeboys 2 – 1 Yanga

Dakika ya 40 Yanga wanapata kona

HALF TIME

Homeboys 2 – 1 Yanga (Allan Wanga 2 Goals, Matheo Anthony)

KIPINDI CHA PILI

Ametoka Akilimali ameingia Ibrahim Ajibu Migomba

Homeboys 2 – 1 Yanga

Dakika ya 48 Hassan Kessy anamwangusha Mahadhi Juma wa Kakamega Homeboys ni faulo

Inapigwa Faulo ambayo almanusra imvuke Rostand lakini bahati anaikuta kwa Nyuma na Kuidaka

Dakika ya 52

Homeboys 2 – 1 Yanga (Allan Wanga 2 Goals, Matheo Anthony)

Dakika ya 54 Yanga wanakoswa Goli na Homeboys, Mpira Unapiga kwenye mashavu ya Goli

Dakika ya 60

Homeboys 2 – 1 Yanga

Dakika ya 65 Anatoka Juma Mahadhi anaingia Amis Tambwe

Dakika ya 69 Yanga walipanda kushambulia wakashtukizwa kwa shambulizi la Haraka lakini Wafura anashindwa kutumia nafasi

Dakika ya 70 Matheo Anthony anatoka anaingia Yusuph Mhilu, Bado Yanga wapo Nyuma

Dakika ya 75

Kakamega Homeboys 2 – 1 Yanga

Dakika ya 78 Amis Tambwe anafunga bao lakini tayari Line 2 Ananyoosha Kibendera kuwa ni Offside

Dakika ya 79 Papy Tshishimbi anapewa kadi ya Njano

Dakika ya 85

Homeboys 2 – 1 Yanga

Dakika ya 85 Goaaaaaal Kakamega Homeboys wanapata Bao la Tatu baada ya kufanya Kaunta attack

FULL TIME

Homeboys 3 – 1 Yanga

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY