Matokeo Yote Uhai Cup leo 11 June 2018
Kombe la Uhai kwa Vijana chini ya miaka 20 kwa timu zilizoshiriki ligi Kuu VPL 2017/2018 mechi nne zimechezwa leo na Haya ndiyo Matokeo
KUNDI A
Mbao 0 – 0 Yanga
Ruvu Shooting 1 – 0 Mbeya City
KUNDI C
Mtibwa Sugar 3 – 1 Mwadui
Azam 0 – 0 Maji Maji