Mavugo athibitisha Yanga kumfata atoa msimamo wake wa Usajili

Mavugo athibitisha Yanga kumfata atoa msimamo wake wa Usajili

0

Mavugo athibitisha Yanga kumfata atoa msimamo wake wa Usajili

Mshambuliaji wa Timu ya Simba na timu ya taifa ya Burundi Laudit Mavugo amefunga na Kusema kuwa Moja kati ya Timu zilizomfata kuongea naye kuhusu Usajili Yanga nayo Ipo.

Timu nyingine ambazo zimeshamfata Mavugo amezitaja kuwa ni Singida United, Gor Mahia na AFC Lepards.

Mavugo msomaji wa Kwataunit.co.ke  amesema bado anamkataba Simba mpaka 5 July 2018 na Kuhusu Hatma yake msimu Ujao amefunguka kuwa ATAWAPA Simba nafasi ya Kwanza kuwasikiliza kwani ameishi nao vizuri kwa Kipindi chote.

Na kama hali haitakwenda vizuri ndipo ataangalia ofa ya Timu nyingine ambazo zinamwitaji ambazo ni Yanga,Singida United, Gor Mahia na AFC Leopards.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY