Mchezaji huyu azidi kuonyesha kuwa harudi tena Yanga

Mchezaji huyu azidi kuonyesha kuwa harudi tena Yanga

0

Mchezaji huyu azidi kuonyesha kuwa harudi tena Yanga

Wakati uongozi wa Yanga ukizidi kuwatoa mashaka washabiki wake juu ya Usajili wa Msimu huu kuwa utakuwa mzuri na Kikosi kitakuwa Imara baadhi ya wachezaji wameonekana kuwa hawana kabisa mpango wa kuendelea na Yanga.

Moja ya wachezaji ambao walikuwa tegemeo zaidi msimu huu upande wa Ushambuliaji ndani ya Yanga Obrey Chirwa amezidi kuumiza roho za wana YANGA mtandaoni

mara baada ya kuendelea kupost picha akiwa na jamaa inayeaminika ndiye anayeshughulikia masuala ya uhamisho wake kwenda Ismailia.

Chirwa alianza kupost picha June 14 akiwa na Jamaa maeneo kama ya Hoteli hivi, Kisha jana akapost picha Mbili moja akiwa sehemu kama ya kuogelea hivi akiwa na huyo jamaa na nyingine wakiwa Uwanjani, uwanja wa Football.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY