Mechi ya GorMahia vs AFC Leopards sasa kuchezwa tarehe hii

Mechi ya GorMahia vs AFC Leopards sasa kuchezwa tarehe hii

0

Mechi ya GorMahia vs AFC Leopards sasa kuchezwa tarehe hii

Mechi ya timu kongwe na zenye ushindani zaidi nchini Kenya kati ya AFC Leopards dhidi ya Gor Mahia maarufu zaidi kama Dabi ya Mashemeji imepangiwa tarehe nyingine.

Mechi hiyo iliyopangwa kufanyika may 26, 2018 kabla ya Kuahirishwa imepangwa kuchezwa July 21 2018 siku ya Jumapili ambapo uwanja utakaotumika utatangazwa siku zijazo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY