Mechi ya Yanga na Homeboys itaonyeshwa Live Chaneli Hii

Mechi ya Yanga na Homeboys itaonyeshwa Live Chaneli Hii

0

Mechi ya Yanga na Homeboys itaonyeshwa Live Chaneli Hii

Sportpesa waandaaji wa michuano ya Sportpesa Super Cup hatimaye wameweka wazi chaneli ambayo itaonyesha Live michuano hiyo.

Kwahiyo mechi ya Yanga na Homeboys itakuwa Live kupitia Star Tv ya Tanzania na watu wenye ving’amuzi vya StarTimes  channeli namba 240 nchini Kenya kupitia KTN,KBC, NTV na Y254

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY