Mexico Yaendeleza Ubabe Kundi F Yainyuka Korea Kusini.

Mexico Yaendeleza Ubabe Kundi F Yainyuka Korea Kusini.

0

Korea kusini imekubaki kipigo cha goli 2-1 dhidi ya Mexico goli la. Korea likifungwa na  Son Heung dakika ya  90+3′ na Vela akiifungia Mexico dakika ya 26′ na Chicharito kukamilisha kazi mnamo dakika ya 65′

Kwa matokeo hayo Mexico anafuzi hatua ya 16 bora kazi imebaki kwa Sweden na Ujerumani.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY