Muda Mechi : Kakamega Homeboyz vs Simba 7 June 2018

Muda Mechi : Kakamega Homeboyz vs Simba 7 June 2018

0

Muda Mechi : Kakamega Homeboyz vs Simba 7 June 2018

Simba Alhamisi 7 June itashuka uwanjani kucheza dhidi ya Kakamega Homeboyz katika mechi ya Nusu Fainali kombe la Sportpesa Super Cup ambao ni wadhamini wakuu wa Klabu ya Simba.

Simba imetinga Nusu Fainali mara baada ya Kuwatoa Kariobangi Sharks kwa Penati 3 kwa 2 wakati Kakamega Homeboyz wakitinga Nusu Fainali mara baada ya kuwafunga Yanga ba0 3 kwa 1.

Mechi hiyo msomaji wa Kwataunit Itaanza Majira ya saa 7 Mchana ikiwa ni mechi ya Kwanza kwa Kesho na Kisha mechi ya Pili ikizikutanisha Gormahia ya Kenya dhidi ya Singida United kutoka Tanzania ambayo Itaanza saa 9 alasiri

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY