Muda wa mechi K.Sharks vs Simba leo 4 June 2018

Muda wa mechi K.Sharks vs Simba leo 4 June 2018

0

Muda wa mechi K.Sharks vs Simba leo 4 June 2018

Leo huko mjini Nakuru katika uwanja wa Afraha kutakuwa na Mechi ya 3 ya Mashindano ya Sportpesa Supercup inayoendelea nchini Kenya.

Mechi  hiyo itazikutanisha Simba wakicheza dhidi ya Kariobangi Sharks ya Kenya.

Mechi hiyo msomaji wa Kwataunit itaanza majira ya saa tisa alasiri ya leo na Itakuwa LIVE kupitia Star Tv kwa Chaneli za Tanzania.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY