Mzee Akilimali ataja mchezaji wake Bora VPL 2017/2018

Mzee Akilimali ataja mchezaji wake Bora VPL 2017/2018

0

Mzee Akilimali ataja mchezaji wake Bora VPL 2017/2018

Katibu wa baraza la wazee klabu ya Yanga Ibrahim  Akilimali maarufu zaidi kama Mzee Akilimali amemtaja mchezaji wa Nje ambaye anaamini amekuwa mchezaji bora wa VPL 2017/2018.

Mzee Akilimali ametaja Jina la Mganda Emmanuel Okwi kama mchezaji bora kwa wachezaji wa Kigeni Msimu Huu ndani ya VPL.

Mzee Akilimali ambaye amekuwa akihusishwa kutaka kugombea nafasi ya Mwenyekiti ndani ya yanga alisema Okwi alikuwa kwenye kiwango bora na Kuwasaidia sana Simba kufunga magoli kiasi cha kuwatisha wapinzani waliokuwa wakikutana naye.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY