Patrick Vieira Kocha Mpya wa Nice ya Ufaransa

Patrick Vieira Kocha Mpya wa Nice ya Ufaransa

0

Patrick Vieira Kocha Mpya wa Nice ya Ufaransa

Kocha wa New York City Fc na Aliyekuwa nahodha wa Arsenal na Timu ya taifa ya Ufaransa Patrick Vieira ameachana na timu yake ya sasa na Kuchukua maamuzi ya Kuwa Kocha wa Nice ya Ufaransa.

Vieira ambaye alipostaafu soka la Kishindani aliamua kujikita zaidi katika ukocha alisema maamuzi ya Kuondoka New York City Fc hayakuwa maamuzi rahisi kwake na Kwa Familia yake.

Naye Rais wa klabu ya Nice  ya Nchini Ufaransa Jean-Pierre Rivere  amefunga na Kusema kuwa timu ilikuwa inamtafuta kocha ambaye ataweza kuleta soka la Kuvutia zaidi na Jicho lao liliona kwa Kocha Patrick Vieira.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY