Post ya Haji Manara baada ya Yanga Kujitoa Kagame 2018

Post ya Haji Manara baada ya Yanga Kujitoa Kagame 2018

0

Post ya Haji Manara baada ya Yanga Kujitoa Kagame 2018

Mara baada tu ya kuwepo kwa taarifa kuwa Yanga wamejiondoa Katika mashindano ya Kagame 2018 Haji Manara hakutaka kuchukua Muda kuandika Juu ya Jambo hilo.

Ilianza asubuhi habari ikiandikwa kupitia Gazeti la Uhuru lakini mchana wa leo Yanga wenyewe wakaja Kuthibitisha kupitia kwa afisa habari wake Dismas Ten akithibitisha kuwa ni kweli hawatashiriki.

Haji Manara  msomaji wa Kwataunit Kupitia ukurasa wake wa Instagram amefunguka kuwa Yanga waliwakimbia Sportpesa na sasa wanawakimbia Kagame na amewaacha Yanga na Swali kuwa watawakimbia mpaka lini?

Soma Ujumbe wake wote hapo chini.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY