RASMI : Simba wataja wachezaji watakaokosekana Kagame Cup

RASMI : Simba wataja wachezaji watakaokosekana Kagame Cup

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

RASMI : Simba wataja wachezaji watakaokosekana Kagame Cup

Hatimaye klabu ya Simba imetaja baadhi ya nyota wake ambao watakosekana katika michuano ya Kombe la kagame 2018 inayoanza June 29 2018.

Wachezaji hao baadhi wanamajeraha madogo huku wengine wakiwa wamepewa mapumziko kutokana na Kutumika kwenye michezo mingi ya ligi Kuu, Na Mashindano mengine kitaifa na Kimataifa.

Nyota ambao watakosekana ni Shiza Kichuya, John Bocco, Erasto nyoni, Emmanuel Okwi, Asante Kwasi, Haruna Niyonzima, Nicolas Gyan, Aishi Manula, Shomari Kapombe, Jonas Mkude na Salim Mbonde ambaye amekuwa akisumbuliwa na majeraha toka ajiunge na Simba akitokea Katika klabu ya Mtibwa Sugar.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY