Ratiba Kombe La dunia 17 June 2018 na Muda

Ratiba Kombe La dunia 17 June 2018 na Muda

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Ratiba Kombe La dunia 17 June 2018 na Muda

Leo kutakuwa na Mechi 3 zikichezwa ambapo mechi ya Kwanza itaanza majira ya saa tisa alasiri kati ya Costa Rica dhidi ya Serbia

Mech ya Pili itakuwa kati ya Ujerumani na Mexico saa kumi na Mbili Jioni

Mechi ya 3 na Mwisho kwa Leo itakuwa kati ya Brazil dhidi ya Switzeland hii msomaji wa Kwataunit.co.ke itaanza saa tatu usiku.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY