Ratiba Kombe la Dunia leo 15 June 2018 na Muda wa Mechi

Ratiba Kombe la Dunia leo 15 June 2018 na Muda wa Mechi

0

Ratiba Kombe la Dunia leo 15 June 2018 na Muda wa Mechi

Kombe la Dunia leo Litaendelea kwa Mechi 3 Kuchezwa nchini Urusi mara baada ya Mechi ya Ufunguzi kushuhudia jana Urusi ikitoa kichapo cha bao 5 kwa 0.

Mechi za Leo msomaji wa Kwataunit.co.ke Zitakutanisha Egypt vs Uruguay mechi ambayo ni ya Kundi A na Itaanza majira ya saa tisa Alasiri muda wa Kenya, Uganda na Tanzania.

Na Mechi ya Pili itakuwa kati ya Morocco na Iran hii Ikianza saa kumi na Mbili Jioni muda wa Afrika Mashariki.

Na Mechi ya tatu kwa Leo itakuwa ya wababe Spain ambao watakuwa dimbani kucheza na Wababe wengine Ureno hii itaanza saa tatu kamili usiku.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY