Ratiba kombe la Dunia leo 16 June 2018 na Muda

Ratiba kombe la Dunia leo 16 June 2018 na Muda

0

Ratiba kombe la Dunia leo 16 June 2018 na Muda

Leo itakuwa ni siku ya 3 Kombe la Dunia likiendelea Nchini Urusi na Mechi za Leo Jumamosi 16 June 2018 zitakuwa kama Ifuatavyo.

Mechi ya Mapema kabisa itakuwa ni Kati ya Ufaransa dhidi ya Australia Hii Itaanza saa saba mchana muda wa Afrika Mashariki.

Mechi ya Pili itakuwa kati ya Argentina dhidi ya Iceland hii itachezwa majira ya saa 10 Alasiri.

Mechi ya 3 kwa Leo msomaji wa Kwataunit.co.ke itakuwa kati ya Peru na Denmark hii itaanza saa moja Usiku.

Na Mechi ya Usiku zaidi itakuwa kati ya wawakilishi wa Bara la Afrika Nigeria ambao watakuwa dimbani dhidi ya Crotia.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY