Ratiba ligi kuu ya Kenya leo Jumatano 27 June 2018

Ratiba ligi kuu ya Kenya leo Jumatano 27 June 2018

0

Ratiba ligi kuu ya Kenya leo Jumatano 27 June 2018

Ligi kuu ya Soka Nchini, Kenya itaendelea leo kwa michezo miwili kuchezwa katika viwanja Tofauti.

Leo klabu ya Zoo itawakaribisha AFC Leopards ambao wanapambana vilivyo kuhakikisha wanashinda na kuwasogelea  Gor Mahia ambao wapo mbele yao kwa zaidi ya Points 10.

Mechi nyingine itakuwa kati ya KK Homeboyz dhidi ya Kariobangi Sharks mechi itaanza saa tisa kamili 1500 Hours.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY