Ratiba Ligi ya kenya Sportpesa Premier League 13 June 2018

Ratiba Ligi ya kenya Sportpesa Premier League 13 June 2018

0

Ratiba Ligi ya kenya Sportpesa Premier League 13 June 2018

Ligi Kuu ya Kenya, Sportpesa Premier League Inaendelea leo kwa mechi 3 Kuchezwa, Katika uwanja wa Machakos kutakuwa na Mchezo kati ya AFC Leopards dhidi ya Sofapaka.

Na Katika uwanja wa Afraha kutakuwa na Mechi kati ya Ulinzi watakaokuwa wenyeji wa Kakamega Homeboyz,

Na Katika uwanja wa Camp Toyoyo  msomaji wa Kwataunit.co.ke kutakuwa na Mchezo kati ya Kariobangi Sharks dhidi ya Nzoia Sugar, Mechi Zikianza saa 9 Alasiri.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY