Rayon Sports yamtimua Kocha wake Mkuu

Rayon Sports yamtimua Kocha wake Mkuu

0

Rayon Sports yamtimua Kocha wake Mkuu

Timu ya Rayon Sports ya Nchini Kenya imeamua Kumfuta Kazi kocha wake Mkuu Ivan Minnaert miezi miwili baada ya Kuongeza Mkataba wake na Timu hiyo ya Nchini Rwanda.

Mtandao maalumu wa Klabu ya Rayon Sports umeeleza sababu kubwa za Kumtimua Kocha Ivan Minnaert Ni Matokeo Mabovu ambayo timu ya Rayon imekuwa Ikiyapata Siku za Karibuni.

Matokeo hayo mabovu ya Rayon Sports Mabingwa wa soka nchini Rwanda inaelezwa yamepelekea timu kushuka mpaka nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Nchini Rwanda.

Kocha Ivan Minnaert MSOMAJI wa Kwataunit.co.ke aliongezewa Mkataba na Rayon Sports mara baada ya Kuifikisha Rayon Sports katika Hatua Ya Makundi kombe la Shirikisho barani Africa CAF, Alikuwa amalize mkataba wake June 2019.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY