Ridhiwan Kikwete atangaza Neema Yanga

Ridhiwan Kikwete atangaza Neema Yanga

0

Ridhiwan Kikwete atangaza Neema Yanga

Mbunge wa Jimbo la Chalinze  na Mtoto wa Rais wa zamani wa Tanzania, Ridhiwan Kikwete ametangaza neema kuelekea mfumo mpya klabu ya Yanga.

Ridhiwan Kikwete amefunguka na Kusema kuwa yupo tayari kuwekeza ndani ya Klabu kama timu itafanya mabadiliko na kwenda kwenye mfumo wa Hisa.

Ridhiwan amefunguka

” mimi ninafsi yangu natamani sana ikifika kipindi hiko namimi niweke vijisenti viwili vitatu ili tuweze kuisaidia timu yetu” alisema

” Kuwekeza ndani ya Yanga yetu ndiyo niko tayari , Tuko tayari sana “

Ridhiwan Kikwete aliendelea kwa kusema anaamini Thamani ya Yanga ni kubwa kuliko hata ambavyo Mo aliamua kuweka Bilioni 20 kwahiyo yeye anaamini thamani ya Yanga ni zaidi ya Bilioni 20.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY