Sajili nyingine Iliyokamilika ligi Kuu Tanzania VPL

Sajili nyingine Iliyokamilika ligi Kuu Tanzania VPL

0

Sajili nyingine Iliyokamilika ligi Kuu Tanzania VPL

Klabu ya Kinondoni Municipal Council KMC imefanikiwa kusajili mchezaji mwingine baada ya Juma Kaseja.

Mchezaji mwingine ambaye amejiunga na KMC Ni Beki Mrundi Yusuph Ndikumana ambaye alikuwa akicheza Mbao Fc kwa Misimu miwili akiwa pia kama nahodha wa Timu hiyo.

KMC ni moja kati ya Klabu ambayo imepanda Daraja mwaka huu na kwasasa wanahakikisha wanakuwa na Kikosi bora kabla ya Ligi Kuu Kuanza.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY