Simba hatihati kumkosa Mchezaji huyu mechi ya Kesho Sportpesa

Simba hatihati kumkosa Mchezaji huyu mechi ya Kesho Sportpesa

0

Simba hatihati kumkosa Mchezaji huyu mechi ya Kesho Sportpesa

Simba Kesho 7 June 2018 itashuka uwanjani kucheza na Kakamega Homeboyz (KK Homeboyz) katika mchezo wa Nusu Fainali Sportpesa Super Cup inayochezwa huko Kenya katika mji wa Nakuru.

Lakini kuelekea mchezo huo Simba inahatihati ya Kumkosa kipa wao namba moja Aishi Manula ambaye aliumia kwenye mchezo kati ya Simba Na Kariobangi Sharks.

MANARA AFUNGUKA KUHUSU MANULA

Afisa Habari wa Simba Haji Manara amefunguka na Kusema kuwa Aishi Manula aliumia Juzi lakini madaktari bado wanajitahidi kuhakikisha hali yake inakaa sawa lakini mpaka sasa bado hakuna Uhakika wa Moja kwa Moja kama kufikia Kesho atakuwa Fiti.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY