Simba kufanya usajili Huu wa Nguvu kabla ya Kagame Kuanza

Simba kufanya usajili Huu wa Nguvu kabla ya Kagame Kuanza

0

Simba kufanya usajili Huu wa Nguvu kabla ya Kagame Kuanza

Mabingwa wa soka nchini Tanzania Klabu ya Simba imedokeza kuhusiana na Usajili ambao wataufanya kabla ya michuano ya Kagame itakayoanza June 28 2018 jijini Dar Es Salaam.

Afisa habari wa Klabu ya Simba amefunguka kuwa wataongeza Mshambuliaji mmoja wa Kimataifa, Beki mmoja (Haijatajwa kama wa Ndani au nje), na Kiungo mmoja wa Ushambuliaji.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY