Simba Wakamilisha Usajili Wa Mshambuliaji Wa Matata Kutoka Kenya.

Simba Wakamilisha Usajili Wa Mshambuliaji Wa Matata Kutoka Kenya.

0

Simba Wakamilisha Usajili Wa Mshambuliaji Wa Matata Kutoka Kenya.

Klabu ya Simba sc imekamilisha usajili wa Mshambuliaji wa klabu ya Gor Mahia, Meddie Kagere kutoka Kenya.

Meddie Kagere Amesaini Mkataba wa Miaka Miwili Kuitumikia Simba SC ya Tanzania Akitokea Gor Mahia ya Kenya ambapo anamaliza Mkataba wake.

Taarifa zinadai kuwa Kagere Amesaini Mkataba huo Kwa Dau la Usajili Dola 50,000 na Mshahara wa Dola 5,500 Kwa Mwezi.

Kwa namna hiyo Simba wameipiku klabu ya Yanga ambayo hapo awali ilionyesha nia ya kumsajili mshambuliaji huyo kinara wa mabao kwenye klabu ya Gor Mahia hasa kwenye michuano ya SportPesa Super Cup iliyomalizika hivi karibuni.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY