Simba Wakibeba Ubingwa Sportpesa Kambi nchi hii Ulaya

Simba Wakibeba Ubingwa Sportpesa Kambi nchi hii Ulaya

0

Simba Wakibeba Ubingwa Sportpesa Kambi nchi hii Ulaya

Simba kesho Jumapili 10 June 2018 itashuka dimbani uwanja wa Afraha Nakuru kucheza fainali Sportpesa Supercup dhidi ya Mabingwa watetezi Gor Mahia.

Uongozi wa Simba kupitia kwa Kaimu Rais Wa Simba Salim Abdallah “Try Again” Umefunguka Juu ya Kambi ya Simba  kama itatwaa Ubingwa wa Sportpesa ‘Supercup’ itakapokuwa Ikijiandaa na Mchezo dhidi ya Everton katika Mchezo maalumu utakaofanyika Goodison Park

” Kama tutafanikiwa kubeba ubingwa wa Sportpesa  wakati wa maandalizi ya kwenda Goodison Park kujiandaa kucheza na Everton tutaweka kambi nchini Italia Kujiandaa na mchezo huo “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY