Straika anayetajwa Simba atupia bao 2 mwenyewe

Straika anayetajwa Simba atupia bao 2 mwenyewe

0

Straika anayetajwa Simba atupia bao 2 mwenyewe

Kukiwa bado tetesi mbalimbali za Usajili zikiendelea Nchini Tanzania Straika wa Gor Mahia Jack Tuyisenge ameongeza magoli katika account yake ya Magoli.

Tuyisenge  raia wa Burundi msomaji wa Kwataunit.co.ke ni Moja kati ya Jina ambalo siku za karibuni limekuwa likitajwa kuwa katika rada za Simba kwaajili ya Usajili.

Tuyisenge ametupia bao 2 akiichezea timu yake ya Gor Mahia wakati ambapo Gor walikuwa wakicheza Ugenini DHIDI ya Nzoia Sugar na Kuwashushia Kichapo cha bao 3 kwa 1.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY