Tamko la GorMahia baada ya Kusikia Yanga wanataka Wachezaji wao

Tamko la GorMahia baada ya Kusikia Yanga wanataka Wachezaji wao

0

Tamko la GorMahia baada ya Kusikia Yanga wanataka Wachezaji wao

Katika Vitu vinavyozungumzwa sana katika Mitandao mbalimbali ya Kenya na Hata Nchini Tanzania Kwasasa ni Tetesi za Usajili yanga ikitajwa kuwa katika mikakati ya Kusajili wachezaji kadhaa wa Gor Mahia ambao ni Mabingwa wa ligi kuu ya Kenya.

Moja ya Wachezaji wanaotajwa zaidi Msomaji wa Kwataunit  ni Meddie Kagere ambaye ndiye mshambuliaji tegemeo zaidi wa Timu ya Gor Mahia Ligi Kuu ya Kenya na HATA kimataifa.

Wengine ni Kama George Odhiambo “Blackberry” , Fransis Kahata ambaye ni winga Msumbufu anapokuwa uwanjani.

BOSS GOR MAHIA ATOA TAMKO

Boss wa Timu ya Gor Mahia C.E.O wa Timu Omondi Aduda amefunguka na KUSEMA kuwa kwasasa ni ngumu kuachia wachezaji wao kwenda timu nyingine.

” Hatutamuacha mchezaji yoyote kwasasa, Nakuhakikishia hilo tunaratiba Ngumu sana lakini kama kweli wanawahitaji wachezaji hao tutaongea mara baada ya kumalizika kwa kombe la shirikisho barani Afrika “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY