Tetesi za Usajili Kenya 16 June 2018

Tetesi za Usajili Kenya 16 June 2018

0

Tetesi za Usajili Kenya 16 June 2018

Kama mambo yataenda sawa basi Nahodha wa zamani wa Gor Mahia Mussa Mohammed huenda akajiunga na ligi Kuu ya Zambia.

Mussa Mohammed ambaye pia alikuwa nahodha wa Timu ya Taifa ya Kenya wakati timu hiyo inatwaa ubingwa wa CECAFA Senior Challenge cup 2017 anahusishwa kutua Timu ya Kabwe Warriors FC.

Mussa Mohammed msomaji wa Kwataunit.co.ke  kwasasa hana timu mara baada ya Kuvunja mkataba na Timu ya Albania KF Tirana timu aliyojiunga nayo akitokea K’Ogalo Gor Mahia.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY