Tetesi za usajili Simba leo 1 June 2018

Tetesi za usajili Simba leo 1 June 2018

0

Tetesi za usajili Simba leo 1 June 2018

Simba inazidi kujiimarisha katika Usajili wa Msimu Ujao na Inaelezwa kuwa Mipango ya Simba ni kuhakikisha Inakuwa na Kikosi kipana kweli Kweli kutokana na Kushiriki mashindano mengi msimu Ujao.

Inaelezwa kuwa Simba wanataka zaidi kujiimarisha katika safu yao ya Ushambuliaji kwani imekuwa wanapokosekana Bocco na Okwi shida iomekuwa ikionekana Kiasi kwa washambuliaji waliopo.

Taarifa za Uhakika ambazo kwataunit imezipata ni kwamba Simba Imeshainasa saini ya Mchezaji wa Tanzania Prisons Mohammed Rashid ambaye alikuwa na Msimu mzuri kwa Kufunga mabao 10 akiwa Na Prisons.

Inaelezwa kuwa mshambuliaji Mohammed Rashid ameingia makubaliano ya Kuitumikia Simba miaka mitatu.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY