Tetesi za Usajili Simba leo 14 June 2018

Tetesi za Usajili Simba leo 14 June 2018

0

Tetesi za Usajili Simba leo 14 June 2018

Mabingwa wa soka nchini klabu ya Simba nayo imeingia katika vita ya Kunasa kiungo wa Timu ya Gor Mahia mabingwa wa Kenya na Mabingwa Sportpesa 2017 na 2018.

Si mwingine bali ni yule kiungo machachari Francis Kahata, Huyu ni moja ya wachezaji ambao wamekuwa wakitajwa sana upande wa Yanga na Singida United.

Taarifa zinaelezwa kuwa Ishu hiyo huenda ikamalizwa na Mo Dewji mapema Tu kwani hakuna wa Kushindana na Mo kati ya Yanga na Singida ambazo zote zinamtaka Francis Kahata wa Gor Mahia.

Francis Kahata msomaji wa Kwataunit.co.ke  ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa wa Kuuchezea Mpira lakini pia anacheza kwa Kasi na Mzuri sana kwenye kupiga Krosi na Mipira iliyokufa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY