Tetesi za Usajili Simba leo 17 June 2018

Tetesi za Usajili Simba leo 17 June 2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Tetesi za Usajili Simba leo 17 June 2018

Wakati Simba ikiwa tayari imeshaweka wazi kuwa kwa sasa inahitaji Beki mmoja, Kiungo Mshambuliaji na Straika mmoja wa Kigeni ili kuwa na Kikosi kilichoshiba,

Taarifa zinadai kuwa sasa mashambulizi ya Simba yanaelekea kwa Mnyarwanda Jacques Tusisenge.

Image result for TUYISENGE

Jacques Tuyisenge kwasasa anacheza katika klabu ya Gor Mahia akiwa anatengeneza pacha na Mnyarwanda mwenzake Meddie Kagere.

Taarifa ambazo mtandao wa Kwataunit.co.ke tumezipata ni kwamba Tuyisenge tayari yupo kwenye rada za Simba na Haitakuwa kitu cha ajabu kusikia anatua Msimbazi.

Mchezaji huyo ndiye aliyefunga goli wakati Gor Mahia wanacheza na Everton uwanja wa Taifa Dar Es Salaam na Ndiye aliyewaadhibu Simba goli la Pili  kwenye Fainali ya Sportpesa Supercup

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY