Tetesi za Usajili Simba leo 2 June 2018

Tetesi za Usajili Simba leo 2 June 2018

0

Tetesi za Usajili Simba leo 2 June 2018

Inaelezwa kuwa Klabu ya Simba ipo katika mazungumzo ya Mwisho mwisho ya Kuhakikisha inabakiza baadhi ya Nyota wake ambao wamemaliza Mkataba.

Moja ya Nyota ambao Inasemekana sasa yamesalia mambo madogo tu ili aweze kuongeza mkataba wa Kuitumikia Simba ni Mzamiru Yassin.

Awali ilisemekana Mzamiru aligoma Kuongeza mkataba Simba akihitaji Kuondoka kutokana na Kutopata sana nafasi msimu huu lakini Inaelezwa sasa mambo mengi kuhusu Mkataba Mpya yataboreshwa ikiwemo mshahara.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY