Tetesi za Usajili Simba Leo 21 June 2018

Tetesi za Usajili Simba Leo 21 June 2018

0

Tetesi za Usajili Simba Leo 21 June 2018

Wakati Simba Ikiwa imeshaweka wazi kuwa kwasasa wanahitaji beki mmoja wa kati wa Kimataifa, Mshambuliaji mmoja wa Kimataifa na Kiungo mshambuliaji mmoja ili kukamilisha jeshi la Msimu Ujao.

Kuna Tetesi za Simba kuingia katika Vita ya Usajili na Timu kutoka Ligi Kuu ya Zambia Kabwe Warriors kwa Beki wa Kati Kutoka Kenya.

Inaelezwa Kuwa Kabwe Warriors ndiyo waliokuwa wa Kwanza kuwa katika mazungumzo ya Kumtaka beki Mkenya Mohammed Mussa ambaye alikuwa Nahodha wa Harambee Stars wakati wa CECAFA Kenya Ikiwa Mabingwa wakati huo akicheza Gor Mahia.

Lakini Simba kutokana na Kutaka Kuachana na Juuko Murshid wameona Mohammed Mussa anaweza Kuwasaidia katika nafasi hiyo kama beki wa Kati.

Kwasasa msomaji wa Kwataunit.co.ke Mohammed Mussa ni mchezaji Huru mara baada ya Kuvunja Mkataba wake na Timu aliyokuwa KF Tirana ya Albania aliyojiunga akitokea Gor Mahia.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY