Tetesi za usajili Simba leo 22 June 2018

Tetesi za usajili Simba leo 22 June 2018

0

Tetesi za usajili Simba leo 22 June 2018

Mabingwa wa Soka Nchini Klabu ya Simba ambao leo wanatarajia kuanza mazoezi yao ya Kujiandaa na MICHUANO ya Kagame Cup ambayo itakuwa ikichezwa katika uwanja wa Taifa Dar Es Salaam na Uwanja wa Azam.

Kuelekea michuano hiyo taarifa za uhakika kutoka ndani ya Simba  msomaji wa Kwataunit.co.ke zinadai kuwa Kiungo anayetajwa kuwa katika mazungumzo na Yanga Mohammmed Ibrahim “Mo” huenda asiondoke Simba.

Inadaiwa kuwa kiungo huyo ambaye ni kipenzi cha mashabiki wengi wa Simba sasa suala lake limeingiliwa kati na Mohammed Dewji ambaye ndiyo mtu pekee anayeonekana anaweza kumshawishi Mo kuendelea kubaki Simba.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY