Tetesi za Usajili Simba leo 3 June 2018

Tetesi za Usajili Simba leo 3 June 2018

0

Tetesi za Usajili Simba leo 3 June 2018

Mabingwa wa soka Nchini Klabu ya Simba Ipo Kenya kwaajili ya Michuano ya Sportpesa Super Cup inayoanza leo kwa Mechi mbili na Kesho Simba Itashuka dimbani kucheza na Kariobange Sharks.

Lakini huku nchini Tanzania Klabu ya Simba imekamilisha zoezi la Kumbakiza mchezaji aliyekuwa Amemaliza Mkataba ndani ya Simba Mzamiru Yassin.

Mzamiru  msomaji wa Kwataunit alikuwa ni moja ya wachezaji waliomaliza Mkataba na taarifa zinadai aligoma kwenda Kenya mpaka kitakapoeleweka kuhusu suala lake la Usajili.

Uongozi wa Simba ukaona Isiwe tabu wakakaa naye kitako na Kuyajenga na Sasa amesaini kandarasi mpya miaka 2 kuitumikia Simba na Ataungana leo na kikosi cha Simba kilichopo Kenya.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY