Tetesi za usajili Simba mchana huu 28 June 2018

Tetesi za usajili Simba mchana huu 28 June 2018

0

Tetesi za usajili Simba mchana huu 28 June 2018

Klabu ya Simba imetajwa tena kuwa katika mipango ya Kumsajili nyota wa Mtibwa Sugar Hassan Dilunga ambaye alitajwa pia kuwa katika mipango ya Kutua Jangwani ambako aliwahi kucheza kabla ya Kuondoka.

Simba inadaiwa kuwa katika mikakati ya Kuhakikisha wanamalizana na Wachezaji wote wazuri ambao Yanga wanawahitaji wakianza kwa Adam Salamba, Pascal Wawa, Meddie Kagere, Deo munishi “Dida” na sasa Hassan Dilunga.

CHANGAMOTO PEKEE YA KUMNASA DILUNGA HII HAPA

Licha ya kuwa Changamoto ya Pesa kwa Simba kwasasa siyo ishu inaelezwa kuwa Hassan Dilunga bado anamkataba wa Mwaka mmoja na Mtibwa hivyo ili Simba wamnase ni lazima wamalizane kwanza na Klabu yake lakini Mwenyewe yupo Tayari.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY