Tetesi za Usajili Yanga leo 12 June 2018

Tetesi za Usajili Yanga leo 12 June 2018

0

Tetesi za Usajili Yanga leo 12 June 2018

Yanga kwasasa inahaha kuhakikisha inakuwa na timu nzuri na bora kwaajili ya msimu ujao wa Ligi kuu soka ya Tanzania bara na michuano mingine ndani na nje ya Nchi.

SIKU kadhaa zilizopita msomaji wa kwataunit.co.ke yanga ilikuwa ikitajwa tajwa kuwa katika Mipango ya Kuhakikisha inanasa saini ya Mrwanda mzaliwa wa Uganda Meddie Kagere anayecheza katika Klabu ya Gor Mahia.

Wakati wa michuano ya Sportpesa iliyofanyika nchini Kenya Kagere aligoma kabisa kuongelea ishu ya USAJILI wake lakini baada ya Michuano hiyo kuisha kagere alikubali Kuongelea na

Kusema baada ya kumaliza mkataba wake na Gor Mahia mwezi Ujao atakuwa tayari kucheza timu yoyote itakayokuwa na dau kubwa kwahiyo kama Yanga wanamwitaji wafike mezani waweze Kuyajenga.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY