Tetesi za Usajili Yanga leo 13 June 2018

Tetesi za Usajili Yanga leo 13 June 2018

0

Tetesi za Usajili Yanga leo 13 June 2018

Mabingwa wa Kihistoria Nchini Tanzania Klabu ya Yanga hatimaye Imefunguka wazi juu ya kile kinachoelezwa kwenye mitandao ya Kijamii kuhusiana na Kuwa kwenye mipango mikakati ya kjutaka kuinasa saini ya Straika Meddie kagere.

Katibu Mkuu wa klabu ya yanga Boniface Mkwasa msomaji wa kwataunit.co.ke  amethibitisha kwa kusema ni kweli wapo kwenye mazungumzo na mchezaji huyo ila amewataka watu kuwa na Subira mpaka mambo yatakapoiva kisawasawa.

“Ni kweli lakini si muda mwafaka wa kuweka kila kitu wazi kwa sasa, naomba subira na uvumilivu viwepo mpaka pale mambo yatakapokuwa tayari tutaweka kila kitu wazi”

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY