Tetesi za Usajili Yanga leo 15 June 2018

Tetesi za Usajili Yanga leo 15 June 2018

0

Tetesi za Usajili Yanga leo 15 June 2018

Viongozi wa Klabu ya Yanga wameanza kutofautiana juu ya Tetesi ambazo zimekuwa zikisemwa Kuhusiana na Mshambuliaji hatari wa Gor Mahia Meddie Kagere.

Majuzi Boniface Mkwasa alithibitisha kuwa wapo kwenye mazungumzo na mchezaji huyo .

Lakini moja ya wajumbe wa Kwenye kamati ya Usajili Hussein Nyika msomaji wa Kwataunit.co.ke  amekanusha kuwa katika mazungumzo naye mchezaji Meddie Kagere ambaye amekuwa Gumzo Tanzania kutokana na Baadhi ya Vilabu kutajwa kutokwa na Udenda juu ya uwezo wake.

KAGERE MWENYEWE AZUNGUMZA

Mshambukiaji Mzaliwa wa Uganda lakini mwenye uraia wa Rwanda amezungumza Juu ya Hatma Yake ndani ya Gor Mahia kwa kusema

“Kwasasa nawasikiliza Gor Mahia kama watanipa ofa ya Kuongeza Mkataba mpya na Tukaelewana nachokitaka Nitabaki Gor, lakini kama hatutaelewana basi nitasikiliza Ofa nyingine. “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY