Tetesi za Usajili Yanga leo 17 June 2018

Tetesi za Usajili Yanga leo 17 June 2018

0

Tetesi za Usajili Yanga leo 17 June 2018

Kama ambavyo kumekuwa na Taarifa za hapa na Pale kuhusu wachezaji kadhaa kuhusishwa Kutua yanga kwaajili ya Msimu Ujao wa Ligi Kuu na Mashindano mengine ndani na Nje ya nchi.

Wakati Simba ikiwa imeshasaini wachezaji wawili Adam Salamba kutoka Lipuli Fc na Mohammed Rashid “T-Better” kutoka Tanzania Prisons Taarifa zinaeleza kuwa huenda Ile tetesi ya Said Ndemla kutua Yanga ikawa rahisi.

URAHISI WA NDEMLA KUTUA YANGA

Taarifa zinaeleza kuwa Said Ndemla huenda ikawa rahisi zaidi kutua yanga kutokana na masharti magumu aliyowapa Simba, Ndemla inaelezwa kuwa kwasasa tatizo siyo fedha ila anataka nafasi ya kucheza zaidi kwenye timu atakayosaini msimu ujao.

Kwa hilo Ndemla anauwezekano mkubwa zaidi kutua Yanga ambapo amehakikishiwa nafasi ya kucheza na siyo kuendelea Simba ambapo amekuwa hapati nafasi sana ya Kucheza.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY